AFRIKA NYINGINE
Philipe alizaliwa mwaka we 1971 huko Marseille. Alihamia Sydney Australia mwaka wa 1991. Mwaka we 1998 alihamia Dublin Ireland ambapo alipata shahada ya digrii katika upigaji picha kutoka Taasisi ya Sanaa ya Dunlaoghaire. Mwaka we 2003 alihamia London ambapo amekamilisha cheti cha Uzamili katika sanaa ya Uchoraji katika Taasisi ya Elimu, Chuo Kikuu cha London. Sasa anaishi Kusini mwa London na mwenza Muairishi Loretta na mtoto wake we kiume Mwingereza, Luca.
St Louis, Senegal