AFRIKA NYINGINE



“Kikosi cha wanajeshi nchini Moritania kiliondoa serikali”, “Machafuko ya Gine yanatisha mkabala we uchumbaji migodi wenye faida”, “Tarakilishi zinazotupwa zinasababisha shughuli zenya sumu”, “Wafuasi wa ANC waonya kuhusu umwagaji damu katika mitaa”, “Delta ya Nijeri: Laana ya dhahabu nyeusi”,,, siku nyingine ya kawaida Afrika, kwa mtazamo we vyombo vya habari vya Kimagharibi, Afrika inaumia kutokana na ‘upungufu wa taswira ‘ ambapo Waafrika hutazama Magharibi sanasana kupitia sinema za Hollywood, sisi huko Magharibi husikia kuhusu Afrika kupitia vichwa vya kusikitisha vya vyombo vya habari.
Hakuna kukana kwamba Afrika inapitia maswala mbalimbali, si tu uongozi mbaya ambao umekumba bara hili kwa miaka arobaine iliyopita lakini ukosaji rajua wa Kiafrika unaficha habari za kutumainisha kutoka bara la Afrika. Chumi za Kiafrika zinakua kwa kasi kikubwa kushinda Magharibi, zikisaidiwa na bei za juu za bidhaa. Nchi nuingi (Ufaransa na Uingereza, koloni kuu za awali pamoja na Marekani na Uchina) zina shauku mpya kwa maeneo haya.
Afrika nyingine ni mradi wa upigaji picha wenye lengo la kutoa maono mapya ya bara hili. Mradi wenyewe unaelezwa kwa ufasaha kupitia dhamira tatu kuu:
- Picha za wafanyikazi Waafrika wanaotoka katika tabaka la kati
- Sehemu za kutorokea usiku jijini
- Picha za waandalizi muziki redioni
Lengo la mwisho la kutembelea nchi zote 54 za Afrika ili kuunda mwili kamilifu wa kazi kufuatia dhamira hizo tatu na kuunda maonyesho ya picha ya picha 54
Sao Tome