AFRIKA NYINGINE
Nyumbani
Picha
Kuhusu
Mahusiano
Maonyesho
Wasiliana
English version
Next image
Previous image
Legal Notice, Copyright © Philippe Sibelly 2005. All rights reserved
Arts Council England
Francois Xavier, Daktari wa Macho, Dakar, Senegal

Dakar ni mji wa kuvutia. Nina marafiki wengi huko na naona uwezekano wangu wa kuishi huko siku moja ukiwa rahisi. Francois Xavier ni daktari wa macho katika mji huo. Miwani huuzika katika kiwango cha chini cha bei zinazouzwa kule London na duka lake lina maumbo mbalimbali ya kuvutia ya miwani hizo. Kwa hakika, mahala pa kwenda kutafuta miwani mpya ni hapa.
The Other Africa on Facebook
Philippe Sibelly on Linkedin
Philippe Sibelly on Twitter
Francois Xavier, Daktari wa Macho, Dakar, Senegal