AFRIKA NYINGINE
Mounir Amine na Leila Aboura ni mtangazaji wa redio katika bendi ya tatu kwenye “Radio Nationale Algerienne.” Bendi hii hutoa matangazo kwa kifaransa. Mounir huwakilisha burudani za muziki pamoja na matangazo ya habari na hali ya anga. Alinisaidia sana nilipokuwa Algeri. Ana hadithi nyingi za kusisimua kuhusu Algeri na hata London, ambapo aliishi miaka ya tisini