AFRIKA NYINGINE
Francky Obiang ni mwaandalizi wa muziki wa Redio Emergence huko Libreville Gabon. Francky hufanya Libreville kusonga kwa mitindo ya kufokafoka. Nilishiriki katika majadiliano ya redio naye kuhusu mada la “L’Afrique qui bouge” (Afrika inayobadilika)