AFRIKA NYINGINE
Nilikunywa kahawa na Papis, ajulikanaye kama Paco, Mcheza Santuri, katika tamasha la utamaduni ufaransa, katika Nouakchott, Mauritania. Papis ni mchangamfu, mcheza santuri mwenye mabadiliko na pia mwimmbaji simu yake haikuwacha kulia hivyo basi picha hii inatupa hesabati nzuri kuhusu mkutano wetu. Papis alinipa zuru katika mji kwa baiskeli yake kabla ya kuniwasilisha kwa rafiki yake mzuri mtenga santuri aitwae prince kuko Dakar.