AFRIKA NYINGINE
Sao Tome ni mji unaopendeza katika Kisiwa cha Chocolate archipelago cha Sao Tome na Principe. Bracanan Quaresma Pires Dos Santos ni Mtenga Santuri kwenye Radio ya Nacional de Sao Tome e Principe (RNSTP). Chumba chake cha habari ambacho kiko mashariki ukingoni mwa mji wa kifahari karibu na Bahari ya Atlantic.