AFRIKA NYINGINE
Huko Dakar nilikutana na Alioune Wade, akifanya kazi kwa jina DJ Prince alioune anafanyia Redio Television Senegalaise (RTS). Yeye huendesha maonyesho ya kuzungumza ambapo hujadili maswala ya ndani au yale mapana ya hadithi za Afrika na majadiliano.