Manal, Mtangazaji kwenye televisheni na Mwimbaji, Algiers, Algeria
Mrembo Manal ni mwimbaji na mtangazaji wa televisheni ambaye amefanikiwa sana kule Algeria. Tulipokutana alikuwa anashughulika kutayarisha kipindi kipya ambacho kilikuwa karibu kufanana na kile cha X-factor. Anasimama na kupigwa picha karibu na ‘bay’ ya Algiers kwenye vilele vya mji.