Khawmany, Mwelekezi Mkuu, Nouakchott, Mauritania
Khawmany ni mkurugenzi wa usajili wa kimataifa Nouakchott. Kampuni yake inajihusisha na viwanda vya petrol, kutuma wafanyikazi katika ufuo wa Mauritania. Khawmany alikuwa wa kukaribisha na wa kufurahisha. Afisi yake ilikuwa pahala pazuri pa kujikinga kutokana na joto la Nouakchott na kunywa kahawa baada ya kahawa huku ukisikiliza ucheshi wa Khawmany au kujifanya kuwa mtu mwingine.