Gerson, Mtangazaji, Mpiga Picha na Mhariri, Sao Tome, Sao Tome na Principe
Nilipotoka televisheni kule Sao Tome, ghafla nilikutana na Gerson ambaye alikuwa anarejea kutoka kutengeneza kanda za habari jijini. Hiyo ilikuwa nafasi nzuri mno ya kumpiga picha. Gerson ni mwasilishaji, mpigaji picha na mhariri wa stesheni ya kitaifa ya Sao Tome na Principe.